- 984 viewsDuration: 1:59Muungano wa maaskofu nchini wakiongozwa na askofu mkuu wa kanisa la GOA David Thagana Munyiri,wametoa wito kwa serikali iwakabili wale wote walionyakua ardhi ya umma na sehemu za chemichemi ya maji. Kulingana nao, mafuriko yanayoshuhudiwa nchini yametokana na unyakuzi wa ardhi za mikondo ya maji.