Muungano wa madakari wataka mazungumzo na Rais Ruto

  • | K24 Video
    107 views

    Madaktari sasa wanataka mazungumzo na Rais william Ruto baada ya maslahi yao kukosa kushughulikiwa na serikali kwa muda. Madaktari hao ambao mgomo wao umeingia siku ya 27 leo wanahisi kuwa serikali ina wapuuza na hali hiyo huenda itaathiri huduma za matibabu zaidi