Muungano wa madaktari waitaka serikali ihamasishe wahudumu wa afya

  • | K24 Video
    57 views

    Muungano wa madaktari nchini unaitaka serikali ihamasishe wahudumu wa afya katika kupambana na ugonjwa wa ebola. Pia wameitaka serikali iajiri wahudumu wa kutosha na kuwasilisha vifaa vya kujikinga vya kibinafsi. Haya yanajiri baada ya wizara ya afya nchini Kenya kuorodhesha kaunti ishirini na moja kama maeneo yaliyoko katika hatari kufuatia mlipuko wa virusi vya ebola nchini Uganda.