Muungano wa mahasibu wataka sheria kuundwa

  • | Citizen TV
    878 views

    Muungano wa wahasibu nchini umetaka Bunge la kitaifa na serikali kuu kuharakisha utekelezaji wa sheria na kanuni za kudhibiti sekta hiyo.