Muungano wa makanisa Malindi yapinga mswada uliopendekezwa wa kudhibiti na kutoza makanisa ushuru

  • | Citizen TV
    262 views

    Muungano wa makanisa mjini Malindi kaunti ya Kilifi unapinga vikali mswada uliopendekezwa wa kudhibiti na kutoza makanisa ushuru. Viongozi hao Wamesema kuwa makanisa sio mashirika yanayopata faida kutokana na shughuli zake na hivyo hayawezi kutozwa ushuru.