- 13,157 viewsDuration: 3:43Viongozi wa upinzani wakiongozwa na Naibu kiongozi wa Chama Cha JUBILEE Dkt Fred Matiangi, RIGATHI Gachagua wa DCP na Kalonzo Musyoka wa Wiper hii leo wanatamatisha ziara yao ya siku tatu eneo la Gusii. Kwa sasa tunaungana naye Chrispine Otieno akiwa ogembo bomachoge chache kaunti ya kisii na mengi zaidi kuhusu siku hii ya mwisho kwa vigogo hao wa Upinzani eneo la Gusii.