Skip to main content
Skip to main content

Muungano wa upinzani yaangazia madai ya vurugu katika ziara yao maeneo ya Kisii na Nyamira

  • | NTV Video
    1,617 views
    Duration: 3:21
    Siku ya pili ya ziara ya Muungano wa upinzani imeangazia zaidi madai ya vurugu walizokumbana nazo jana walipokuwa katika Kaunti ya Kisii, huku wakitoa onyo kali kwa serikali, wanayodai ndiye ilipanga mashambulizi hayo. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya