Muungano wa wafanya biashara nchini NCCI wataka uhasama wa kisiasa kukomeshwa

  • | Citizen TV
    3 views

    Muungano wa wafanya biashara nchini NCCI sasa unataka uhasama wa kisiasa kukomeshwa haraka ipasvyo ,la sivyo taifa huenda likaporomoka kiuchumi.Viongozi wa muungano huo wamekiri kuwa sekta hiyo lilipoteza takribani shilingi bilioni 1.2 Kwa kila lisaa ,kufuatia maaandamano yaliyoongozwa na upinzani.