Muungano wa walemavu Marsabit walalamika

  • | Citizen TV
    136 views

    Muungano wa walemavu katika kaunti ya Marsabit umelalamikia ugumu wa kusaka huduma za serikali kutokana na majengo ya serikali kutozingatia hali yao