Muungano Wa Walimu: Jumatatu Hatuingii Madarasani

  • | NTV Video
    252 views

    Muungano Wa Walimu: Jumatatu Hatuingii Madarasani

    Huu ndio msimamo wa Muungano wa Walimu kutoka maeneo tofauti nchini wakiunga mkono mgomo uliotangazwa na viongozi wa kitaifa, unayotarajiwa kuanza wiki ijayo. #NTVAdhuhuri @MwakaFridah