Muungano wa walimu wa chekechea walalamika

  • | Citizen TV
    221 views

    Muungano wa walimu wa chekechea katika kaunti ya Nandi - KUNOPPET - waliandamana na kutoa ilani ya wiki moja la sivyo wagome. Walimu hao wanataka gavana wa Nandi Stephen Sang kuwaadhibu maafisa wakuu wa idara ya elimu ambao wanasemekena kuwatishia na kuhangaisha walimu kila mara wanapowasilisha malilio yao.Walimu hao pia wamesema kuwa licha ya serikali ya Nandi kuwaweka Kwenye mfumo wa ajira ya kudumu,maafisa wakuu wamechelewa kutekeleza mkataba wa nyongeza ya mishahara