- 274 views
Muungano wa Kitaifa cha Wafanyakazi wa walinzi wa Kibinafsi cha Kenya (KNPSWU) unashinikiza utekelezaji wa haraka wa nyongeza ya mishahara kwa walinzi wa kibinafsi kote nchini kama ilivyotangazwa na mamlaka ya udhibiti wa walinzi w akibinafsi. Maafisa wa muungano huo waliokutana Nairobi pia wanataka mazungumzo kati ya maafisa wote husika kutoka serikali kuu na muungano wa Cotu kutathmini usitishwaji wa michango ya wanachama kila mwezi kama ilivyoagizwa. Katibu mkuu wa cotu francis Awoli na mwenyekiti wa mamlaka ya udhibiti wa walinzi wa kibinafsi fazul mohammed wamerushiana cheche za maneno kuhusu makato ya wafanyikazi kwa cotu. Mamlaka hiyo iliamuru wafanyikazi wa mishahara ya chini zaidi walipwe shilingi elfu thelathini kila mwezi.
Muungano wa walinzi wa kibinafsi unadai mishahara
- - Duniani Leo ››
- 1 Jul 2025 - More than 14 million of the world's most vulnerable people, a third of them small children, could die because of the Trump administration's dismantling of US foreign aid, research projected on Tuesday.
- 1 Jul 2025 - Bangladesh on July 1 marks one year since students launched protests that culminated weeks later in the overthrow of the government.
- 1 Jul 2025 - A middle-aged man shocked an Eldoret court after confessing that he deals in bhang business as his only source of income.
- 1 Jul 2025 - Cameroon's Tourism Minister Bello Bouba Maigari has accepted his party's nomination to seek the presidency in an expected October election, with long-serving President Paul Biya yet to announce whether he plans to run for reelection.
- 1 Jul 2025 - KEBS has received several complaints.
- 1 Jul 2025 - The bill is "utterly insane and destructive". — Elon Musk
- 1 Jul 2025 - His quest for freedom has been denied at the High Court and Court of Appeal.
- 1 Jul 2025 - Police said they are investigating to establish whether the man drowned or was killed and dumped there.
- 1 Jul 2025 - The woman had a stab wound in the head.
- 1 Jul 2025 - Usaid-funded programs have prevented more than 91 million deaths globally, including 30 million deaths among children.