Muungano wa walinzi wa kibinafsi unadai nyongeza ya mishahara walioahidiwa

  • | Citizen TV
    225 views

    Muungano wa Kitaifa cha Wafanyakazi wa walinzi wa Kibinafsi cha Kenya (KNPSWU) unashinikiza utekelezaji wa haraka wa nyongeza ya mishahara kwa walinzi wa kibinafsi kote nchini kama ilivyotangazwa na mamlaka ya udhibiti wa walinzi w akibinafsi.