Muungano wa wamiliki wa baa na vilabu vya burudani watishia kuwafuta kazi wahudumu

  • | K24 Video
    80 views

    Muungano wa wamiliki wa baa na vilabu vya burudani hapa nchini tawi la Nairobi wametishia kuwafuta kazi wahudumu wao na kufika mahakamani endapo serikali haitaangazia upya nyongeza ya asilimia 300 ya ada za leseni zao. Kulingana nao nyongeza hiyo itatatiza biashara zao ambazo hazijarejea kama ilivyokuwa kabla ya janga la korona.