Skip to main content
Skip to main content

Muungano wa wanawake wataka amani Turkana-Pokot

  • | Citizen TV
    185 views
    Duration: 1:48
    Muungano wa wanawake Kaunti ya Turkana chini ya mwavuli wa 'VOICE OF THE WOMEN' wamejitokeza na kukashifu mauaji ya kila mara kwenye mpaka wa Kaunti za Turkana na Pokot Magharibi .