Muungano wa wazazi warai wizara ya elimu kutuma fedha za muhula wa pili

  • | Citizen TV
    156 views

    Muungano wa wazazi katika shule ya upili ya St. Mary’s Yala, umerai wizara ya elimu kufanya hima na kutuma fedha za muhula huu ili kuzuia hali ya walimu wakuu kulazimika kuwatuma wanafunzi nyumbani wanaporejea shuleni baada ya likizo fupi.