'Muziki na soka kwangu mimi ni mchanganyiko mzuri'- Kipa bora wa kike Afrika

  • | BBC Swahili
    332 views
    Andile Dlamini wa Afrika Kusini ndiye kipa bora wa kike barani Afrika na sasa anajiandaa kwa Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake. Lakini 2021, ilibaki kidogo kuacha mpira baada ya kupata maambukizi ya Covid-19. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 30 alizungumza na BBC namna alivyokabiliana na hali hiyo na jinsi anavyoweza kujihusisha na muziki na soka kwa wakati mmoja. #bbcswahili #afrikakusini #soka