Mvua inayonyesha sasa itazidi kuongezeka, Idara ya utabiri wa hali ya hewa yaonya

  • | Citizen TV
    1,898 views

    Mvua zinazoendelea sehemu mbalimbali nchini zitaongezeka mwezi huu. Mkurugenzi mkuu wa idara ya utabiri wa hali ya anga anasema kuwa, mvua hizi zilizoanza mwezi jana zitaendelea hadi januari mwakani. Wanaoishi kwenye maeneo yaliyo kwenye hatari ya maporomoko wakitakiwa kuhamia maeneo salama.