25 Feb 2026 1:41 pm | Citizen TV 349 views Duration: 1:36 Kaunti ya Trans Nzoia hutegemewa pakubwa kama ghala la taifa kwa uzalishaji wa mahindi, mvua inayoendelea kunyesha inachukuliwa kuwa faraja kwa wakulima wanaotarajia mavuno bora msimu huu.