Mvua kubwa inarajiwa tena Afrika mashariki

  • | VOA Swahili
    228 views
    Hali inaonekama kurejea kawaida katika maeneo yaliokumbwa na mafuriko nchini Kenya. Lakini idara ya utabiri wa hali ya hewa Kenya imeonya kuwa kuna mvua nzito zaidi kunyesha wiki hii katika mataifa ya Afrika Mashariki ikiwemo Somalia Kenya Uganda na Tanzania. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.