Skip to main content
Skip to main content

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika Kaunti ya Trans Nzoia imesababisha majonzi na uharibifu

  • | Citizen TV
    2,685 views
    Duration: 2:18
    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika Kaunti ya Trans Nzoia imesababisha majonzi na uharibifu mkubwa baada ya mtu mmoja kupoteza maisha kwa kusombwa na mafuriko. Na Kama anavyoarifu Collins Shitiabayi kutoka eneo la Namajalala, mto Sabwani ulivunja kingo zake na kuelekeza maji kwa kasi katika maeneo ya makazi.