Skip to main content
Skip to main content

Mvua kubwa Nairobi yalazimisha wakazi kuhama, nyumba zajaa maji taka

  • | Citizen TV
    22,566 views
    Duration: 2:32
    Athari za mvua kubwa iliyoshuhudiwa sehemu nyingi za nairobi usiku wa kuamkia leo zimesababisha baadhi ya wakazi kuhama makao yao. Katika mtaa wa tena eneo la umoja, baadhi ya nyumba zilijaa maji taka baada ya mabomba kukatika kutokana na mvua hiyo.