Mvua kubwa yaharibu mitambo ya maji Migori

  • | Citizen TV
    476 views

    Mitambo ya kusafisha maji katika eneo la Oyani imeharibiwa na maji kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika kaunti ya Migori.