Mvua kubwa yasababisha familia kukosa makao katika eneo la Tigania Magharibi, Meru

  • | KBC Video
    28 views

    Zaidi ya familia 100 katika kaunti ndogo ya Tigania Magharibi ,kaunti ya Meru zimeachwa bila makao kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kote nchini. Hali hii imewalazimu wakazi kuhamia kwingine kutafuta makazi huku wakitoa wito kwa serikali kuwapa msaada.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News