- 7,689 viewsDuration: 2:43Idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko yanayoshuhudia nchini imefikia 71 baada ya watu watano zaidi kufariki nairobi, mashariki na pwani. Haya yanajiri huku idara ya hali ya anga ikisema mvua kubwa inatarajiwa kuanzia alhamisi hii hadi jumatatu. Idara hiyo imeongeza baadhi ya maeneo yanatarajiwa kupokea mvua yenye uwezekano wa mafuriko.