Mvua yasababisha maporomoko katika msitu wa Maasai Mau

  • | Citizen TV
    989 views

    Mvua inayoendelea kunyesha katika eneo la msitu wa Maasai Mau imesababisha maporomoko katika kijiji cha Esongoroi lokesheni ya Olashapani.