Mvua yasababisha uharibifu wa mali Busia huku wengi wakiachwa bila makao

  • | KBC Video
    12 views

    Wakazi kadhaa wanaoishi karibu na mito ya Malaba na Malakisi katika kaunti ndogo ya Teso kaskazini, kaunti ya Busia, wanakadiria hasara baada ya nyumba na mimea zao kusombwa na mvua ya masika iliyonyesha eneo hilo. Viongozi kutoka sehemu hiyo wametoa wito wa usaidizi wa dharura kutoka kwa serikali ya kitaifa na wahisani huku wakihimiza wakazi kuhamia maeneo salama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive