Mvua yatatiza ujenzi wa barabara, Samburu

  • | Citizen TV
    816 views

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha imezidi kutatiza ujenzi wa lami kwenye barabara kuu ya Maralal kuelekea Loosuk katika kaunti ya Samburu.Mwanakandarasi anayeendeleza ujenzi huo ametakiwa kusitisha Kwa muda shughuli hiyo Hadi pale mvua itakapopusa. hatua hiyo inakisiwa kuwa itazuia ujenzi duni wa barabara hiyo ya kipekee eneo hilo