Mvulana mwenye umri wa 14 afariki baada ya kula chakula kinachodaiwa kuwa na sumu

  • | NTV Video
    679 views

    Mvulana mwenye umri wa miaka 14 alifariki baada ya kula chakula kinachodaiwa kuwa na sumu huku wengine sita wakiendelea kupata matibabu katika hospitali ya Kiritiri level 4.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya