Mvulana wa miaka 14 anauguza majeraha ya panga

  • | Citizen TV
    580 views

    Mwanafunzi wa gredi ya saba kaunti ya Nyamira anauguza majeraha ya panga baada ya kushambuliwa kwa kutuhumiwa kuiba asali kwenye mizinga ya jirani yao.