Mvurya asema pilkapilka za kuandaa Harambee Stars kwa CHAN 2024 zimeanza

  • | NTV Video
    145 views

    Waziri wa michezo Salim Mvurya ameseme kuwa muda uliosalia kuelekea kwa dimba la CHAN utakuwa na pilkapilka za kuandaa Harambee Stars na kuiimarisha miundo mbinu ili kufanikisha makala hayo ya mwaka 2024 ambayo yatafanyika Mwezi Agosti.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya