Mvutano baina ya NPS na NPSC wapamba moto | Murkomen kuingilia kati

  • | Citizen TV
    1,369 views

    MGOGORO UNAZIDI KUTOKOTA KUHUSU MISHAHARA NA USAJILI WA MAAFISA WA POLISI HUKU IDARA YA HUDUMA ZA POLISI - NPS- NA TUME YA KITAIFA YA HUDUMA ZA POLISI ZIKIPIMANA NGUVU - NPSC. MVUTANO HUO UMEMFANYA WAZIRI W AUSALAMA KIPCHUMBA MURKOMEN KUINGILIA KATI NA KUANDAA KIKAO CHA PAMOJA CHA MAAFISA WAKUU WA ASASI HIZO MBILI. MKUTANO ULIOPANGIWA KUFANYIKA HAPO KESHO UNALENGA KUTATUA MZOZO ULIOPO ILI KUHAKIKISHA KUWA KAZI YA POLISI HAITATIZIKI