Mvutano kati ya Waisrael na Wapalestina waishio Marekani

  • | VOA Swahili
    1,212 views
    - - - - - #VOASwahili Kulikuwa na mivutano mikali wakati waisraeli na wapalestina wanaoishi Marekani waliposhiriki katika maandamano ya hadhara katika jimbo la Washington. Natasha Mozgovaya anaripoti kutoka Kirkland na Hubbah Abdi ana taarifa kamili