Mvutano wa Ardhi Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    245 views

    Mvutano kuhusu ardhi umezua hali ya taharuki katika Kaunti ya Trans Nzoia huku wakazi, viongozi na watu wanaodai umiliki wa ardhi hiyo wakirushiana lawama