21 Aug 2025 1:46 pm | Citizen TV 480 views Duration: 2:59 Mvutano kuhusu ardhi umezua hali ya taharuki katika kaunti ya trans nzoia huku wakazi, viongozi na watu wanaodai umiliki wa ardhi hiyo wakirushiana lawama.