Skip to main content
Skip to main content

Mvutano wa kisheria waendelea ndani ya ODM kufuatia kesi ya Edwin Sifuna

  • | Citizen TV
    17,832 views
    Duration: 2:19
    Mvutano wa kisheria umeendelea katika chama cha ODM kufuatia kesi iliyowasilishwa na Edwin Sifuna mahakamani. ODM kupitia mwanachama wa baraza lake kuu Halima Daro inataka mahakama kutupilia mbali ombi la Sifuna kuhusu kubatili uamuzi wa kumtimua kama katibu mkuu. Badala yake wanasema swala hilo linahitaji kwanza kushughulikiwa na jopo la kutatua mizozo ya vyama.