Mvutano wa soko Nakuru

  • | Citizen TV
    144 views

    Wafanyibiashara zaidi ya mia moja wakiwemo wamiliki wa maduka kaunti ya Nakuru wamefunga biashara zao leo wakilalamikia hatua ya serikali ya kaunti kufunga soko la wakulima. Hatua hii ikilazimu wafanyabiashara wa soko hili kujumuishwa nao wakisema hawakuhusishwa.