Mvutano wa ushuru kati ya Marekani na China
Marekani na China wameongeza muda wa makataa ya kuongezeana ushuru wa kuagiza bidhaa kwa siku 90, saa chache tu kabla ya mataifa hayo ya Uchumi mkubwa kutarajiwa kuongezeana ushuru kwa bidhaa zao.
Hii ikimaanisha kwamba Marekani itaendelea kutoza China asilimia 30 ya bidhaa inazotuma Marekani huku China ikiendelea na kutoza Marekani asilimia 10.
Washington ilikuwa imetishia kutoza asilimia 145 kwa bidhaa za china huku Beijing ikilipiza kwa asilimia 125 kwa Marekani.
@RoncliffeOdit anachambua kwa kina suala hili kwa pamoja na taarifa nyingine nyingi saa tatu usiku wa leo, mubashara kwenye Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube, BBC Swahili.
#bbcswahili #marekani #china
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
13 Aug 2025
- Mudavadi was speaking in Nairobi on Wednesday.
13 Aug 2025
- The civil servants are urged to apply for the loan.
13 Aug 2025
- Another Kenyan was shot and killed during the abduction.
13 Aug 2025
- In a notice issued Wednesday afternoon, the US Embassy in Nairobi urged students to remain committed to their academic programmes and comply with institutional requirements to maintain visa eligibility.
13 Aug 2025
- “Neither the British High Commission, UK Ministry of Defence, nor the British Army Training Unit Kenya (BATUK) has received a formal invitation to appear before Kenya’s Defence, Intelligence and Foreign Relations Committee,” a spokesperson said on…
13 Aug 2025
- The United States has mapped out the expected timeline it will follow to probe Kenya on its alleged involvement with the al-Shabaab and its non-North Atlantic Treaty Organization (NATO) ally status.
13 Aug 2025
- The suspects — Jeremiah Njoroge, Marvine Wanguno, and Victor Kimani — pleaded not guilty to five counts, including theft and handling suspected stolen property.
13 Aug 2025
- Mudavadi was speaking in Nairobi on Wednesday.
13 Aug 2025
- The civil servants are urged to apply for the loan.
13 Aug 2025
- Another Kenyan was shot and killed during the abduction.
13 Aug 2025
- President William Ruto on Wednesday assented to the County Allocation of Revenue Bill, 2025, and the County Public Finance Laws (Amendment) Bill, 2023.
13 Aug 2025
- Currently, the services are available for free.
13 Aug 2025
- The strike is expected to commence on August 20, 2025, if their demands are not met.