Mvutano washuhudiwa katika jumba la Jogoo wakati viongozi wa wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Nairobi

  • | Citizen TV
    965 views

    Mvutano ulishuhudiwa mapema leo katika jumba la Jogoo wakati viongozi wa wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Nairobi walipoandamana wakitaka kupunguzwa kwa ada ya malazi chuoni humo.