- 975 viewsKutana na Pauline Mwaka, mwanamke mwenye umri wa miaka 28, anayekabiliana na changamoto ya mila ya zamani ya kuto mruhusu mwanamke kuingia kwenye uvuvi wa bahari kuu. Jamii yake ya pwani huko Kilifi, Kenya inaamini kuwa wanawake kujitosa majini huleta dalili mbaya na kusababisha ajali na masaibu kwa wavuvi wa kiume baharini. Lakini amedhamiria kwenda kinyume na dhana hiyo na ndiye mwanamke wa kwanza katika jamii yake kuthubutu. Anatumai safari yake haitabadilisha maisha yake tu bali pia itabadilisha maoni ya jamii yake kuhusu jukumu la wanawake. Katika mwaka ambao amekuwa akivua samaki, amewavutia wanawake wengine wawili kuungana naye baharini. ✍🏽: @ahmedbahajjofficial 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Mvuvi mwanamke Kenya
- 15 Jul 2025 - Spanish police have arrested nine people over rare anti-migrant unrest that rocked the town of Torre Pacheco, authorities said on Monday.
- 15 Jul 2025 - A nighttime fire at a nursing home has left nine people dead in the northeastern US state of Massachusetts after a desperate rescue operation, local authorities said Monday.
- 15 Jul 2025 - Karua, the People’s Liberation Party leader and long-time advocate for civil liberties, served as the chief guest at the cultural event that brought together members of the Kenyan diaspora in the U.S. Pacific Northwest.
- 15 Jul 2025 - In a statement released Monday, KUCO announced plans for mass demonstrations on Wednesday, July 17, in Nairobi. The union said it will present a public petition demanding immediate action to address what it described as the deteriorating state of public…
- 15 Jul 2025 - In a constitutional petition filed by UK-based activist Eliud Matindi, Justice Chacha Mwita ruled that there would be no interim orders preventing Lagat from carrying out his duties as Deputy Inspector General until the matter was fully heard and…
- 15 Jul 2025 - IEBC warns against reckless rhetoric as political tempers flare
- 15 Jul 2025 - CMA to pay ex-Sanlam boss for silence that cost him new job
- 15 Jul 2025 - Kiunjuri, Gachagua in war of words over Mt Kenya's soul
- 15 Jul 2025 - Muzzled by fear: Chief torn between grieving his daughter aloud and duty
- 15 Jul 2025 - Testimonies link KWS rangers to fisherman who went missing