Mwaandamaji Kenneth Njeru azikwa Gicugu , Kaunti ya Kirinyaga; familia kililia haki

  • | NTV Video
    164 views

    Kenneth NJERU mwenye umri wa miaka 20 ambaye aliuawa kwenye maandamano Nairobi wiki jana alizikwa Alhamisi huku familia IKILILIA haki. Njue alizikwa huko Gicugu, kaunti ya Kirinyaga, ambapo familia inasema kifo chake ni pigo kubwa kwao. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya