- 41,506 viewsDuration: 2:03Ni Mwaka mmoja umetimia tangu Mwenyekiti wa Chama cha upinzania Tanzania CHADEMA, Tundu Lissu kukamatwa na kuwekwa gerezani. Je nini kinaendelea mpaka sasa? Laillah Mohammed anaelezea #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw