Mwaka wa uchaguzi wenye chaguzi kubwa duniani.

  • | BBC Swahili
    643 views
    2024 ni mwaka wa uchaguzi mkuu katika baadhi ya nchi ambapo zaidi ya nusu ya watu duniani watapiga kupiga kura, Ndio mwaka wenye idadi kubwa zaidi ya wapiga kura katika historia. Hapa kuna chaguzi tano ambazo ulimwengu utafuatilia kwa karibu. #bbcswahili #marekani #india Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw