- 182 viewsDuration: 1:32Huku wakulima wa chai katika eneo la Gusii wakiendelea kulalamikia malipo duni ya chai, mwakilishi wa kike katika kaunti ya Nyamira Jerusha Momanyi ametamaushwa na utofauti wa bei ya kuuza chai katika maeneo mbalimbali nchini.
