Mwakilishi wadi Dolphine Nyang'ara aandikisha ripoti baada ya kupokea jumbe za kumtishia maisha

  • | Citizen TV
    413 views

    Mwakilishi wadi mteule katika kaunti ya Nyamira kupitia chama cha Jubilee kwenye muungano wa Azimio One Kenya Dolphine Nyang'ara Onkoba, ameandikisha ripoti ya kupokea jumbe za kumtishia maisha kutoka kwa watu wasiojulikana.