Mwakilishi wadi mteule wa Kinango alishinda kwa kura moja tu

  • | Citizen TV
    9,022 views

    Anayetafuta bila Shaka hachoki, hiyo ni kauli ya Richard Itambo ambaye amechaguluwa kuwa mwakilishi wadi katika eneo la kinango kaunti ya kwale kupitia chama cha UDA. Itambo alimbwaga mpinzani Raphael Bavu Kwa utofauti WA Kura moja tu.