- 1,457 viewsMwakilishi wadi ya githurai 44 mwangi waithira amejiuzulu kwa kile anasema ni kukosa pesa za kuendeleza maendeleo kwa wakaazi wa wodi yake. Waithira aliyewasilisha barua ya kujiuzulu leo pia ameonekana kutaja kusukumwa na kudorora kwa uhusiano wake na uongozi wa kaunti ya nairobi. Mwakilishi huyu sasa akiingia kwenye kumbukumbu kuwa wa tatu kujiuzulu chini ya katiba ya sasa.