Skip to main content
Skip to main content

Mwalimu Kerugoya akamatwa kwa kubaka mwanafunzi asiyeweza kusikia

  • | Citizen TV
    3,228 views
    Duration: 2:19
    Madai ya ubakaji yameibuka katika Shule ya watoto wasiokuwa na uwezo wa kusikia ya Kerugoya kaunti ya Kirinyaga. Mwanafunzi wa miaka minane anadai kubakwa na mwalimu ambaye tayari anakabiliwa na mashtaka kama hayo yanayomuhusisha mtoto mwingine katika shule hiyo.