Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi ya Lunao apatikana ameuawa chumbani mwake

  • | West TV
    271 views
    Hali ya taharuki imetanda katika kijiji cha Bumula kaunti ya Bungoma baada ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Lunao kupatikana chumbani mwake akiwa ameuawa na mwili wake ukiwa na majeraha huku ukiwa umefungwa kwa kamba