Mwalimu mmoja auawa kufuatia uvamizi wa mifugo katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    191 views

    Chama Cha kutetea maslahi ya walimu wa shule za msingi na shule za upili tawi la Samburu kimetishia kulemaza masomo katika Kaunti hiyo shule zitakapofungua milango yake Kwa muhula wa tatu endapo swala la usalama halitaangaziwa kikamilifu.Kauli hizi zimeibuliwa baada ya kuuwawa kwa mwalimu mmoja katika uvamizi wa punde uliotekelezwa na majangili wa wizi mifugo eneo la Lesidai.